Skip to content

Nyimbo za Kristo 127

Ni Salama Rohoni Mwangu

Studio

1Nionapo amani kama shwari, au nionapo shida;
Kwa hali zote umenijulisha ni salama rohoni mwangu.

RefrainSalama rohoni,
Ni salama rohoni mwangu.

2Ingawa shetani atanitesa, nitajipa moyo kwani,
Kristo ameona unyonge mwangu; amekufa kwa roho yangu.

3Dhambi zangu zote, wala si nusu, huwekwa msalabani;
Wala sichukui laana yake, ni salama rohoni mwangu.

4Ee Bwana himiza siku ya kuja, panda itakapolia:
Utakaposhuka sitaogopa ni salama rohoni mwangu.