Skip to content

Nyimbo za Kristo 129

Kumtegemea Mwokozi

Studio

1Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa,
Kukubali neno lake,
Nina raha moyoni.

RefrainYesu,
Yesu namwamini,
Nimemwona thabiti,
Yesu,
Yesu, yu thamani,
Ahadi zake kweli.

2Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa,
Kuamini damu yake,
Nimeoshwa kamili.

3Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa,
Kwake daima napata, uzima na amani.

4Nafurahi kwa sababu,
Nimekutegemea;
Yesu,
Mpendwa rafiki, uwe nami daima.