Skip to content

Nyimbo za Kristo 142

Nasikia Sauti Yako

Studio

1Nasikia mwito,
Ni sauti yako;
Nikasafiwe kwa damu Ya kwangikwa kwako.

RefrainNimesongea mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako.

2Ni mnyonge kweli, umenipa nguvu;
Ulivyonisafi taka Ni utimilivu.

3Yesu hunijuvya:
Mapenzi imani,
Tumai, amani, rahi, hapa na mbinguni.

4Napata wokovu,
Wema na neema;
Kwako Bwana nina nguvu Na haki daima.