Nyimbo za Kristo 143
Naamini
1Baba sina msaada Ila kwako pekee:
Kama kwangu ungefichwa,
Nifanyeje,
Baba?
2Naamini mwana wako Nipe nguvu zako:
Nijazie mahitaji,
Katika saa hii.
3Ni furaha gani kwangu Kukuona uso!
Nijue sauti yako,
Nipate neema.
4Sasa hivi naamini Yesu alikufa,
Alimwaga damu yake,
Nitoke dhambini.