Skip to content

Nyimbo za Kristo 144

Ni Wako Bwana

Studio

1Ni wako,
Bwana, ninasikia Unaponena nami;
Lakini, kweli, nataka kwako Nizidi kusongea:

RefrainBwana vuta, nije nisongee Sana kwako mtini.
Bwana, vuta, vuta, nije nisongee Pa damu ya thamani.

2Niweke sasa nikatumike Kwa nguvu za neema;
Uyapendayo nami nipende Nizidi kukwandama.

3Nina furaha tele kila saa Nizungumzapo nawe;
Ninanena kama kwa rafiki Nikipiga magoti.