Skip to content

Nyimbo za Kristo 145

Namtaka Bwana Yesu

Studio

1Ulimwengu siutaki,
Namtaka Bwana Yesu;
Dunia hunidanganya;
Yesu yu mwaminifu.

RefrainRehema ni ya ajabu!
Pendo bila kipimo!
Wokovu mkamilifu,
Amana ya uzima!

2Ulimwengu siutaki,
Namtaka Bwana Yesu;
Kati ya dhoruba kali Yenye wimbo mtamu.

3Ulimwengu siutaki,
Namtaka Bwana Yesu;
Safarini duniani Yeye furaha yangu.

4Ulimwengu siutaki,
Namtaka Bwana Yesu;
Msalaba naamini,
Hata namwona Yesu.

Namtaka Bwana Yesu – Nyimbo za Kristo 145 lyrics | Advent Hymnals