Skip to content

Nyimbo za Kristo 153

Fikira Moja Tu

Studio

1Fikira moja tu Hurejea tena;
Nimekaribia mbingu Zaidi ya jana.

RefrainKaribu na kwetu mbingu,
Karibu na kwetu sasa,
Nikwone karibu.

2Karibu na kwetu Na kwenye makao;
Kiti cha enzi cha Mungu,
Pahali pa mto.

3Kamilisha,
Yesu,
Kuamini kwangu;
Nikifika mwisho wangu,
Nikwone karibu.