Nyimbo za Kristo 154
Yanipasa Kuwa Naye
I Must Have the Savior With Me
Tune: Christ in Song 541
1Yanipasa kuwa naye,
Mwokozi Bwana wangu.
Akiwa karibu nami, napata nguvu kweli.
RefrainMoyo hauogopi, wala kutikisika.
Nitakwenda apendapo, kwa kuwa anilinda.
2Yanipasa kuwa naye, kwani nategemea;
Anaweza kufariji na maneno matamu.
3Yanipasa kuwa naye maisha yangu yote;
Yakiwapo majaribu na mashaka yo yote.
4Yanipasa kuwa naye katika njia zangu;
Macho yake yaongoza hatua zangu zote.