Nyimbo za Kristo 165
Uwe Imara
Hold Fast Till I Come
Tune: Church Hymnal 548
1Ahadi tamu kwa waamini,
Tazama nakuja upesi sana.
Uwe imara, hatari kubwa:
Ndugu usilale, bali ukeshe.
RefrainUihifadhi imani yako,
Dunia mpya itatolewa
Njoo ingia furaha yangu;
Taji zinangoja;
Uwe imara.
2Tatakesha na kutoa sala;
Atakuja kama mwivi kwa wengi;
Ya kwamba yu karibu twajua,
Ila hatujui ni siku gani.
3Tunategemea Neno lake,
Ambalo latangaza kuja kwake,
Tumaini letu ni ahadi:
"Naja karibuni, uwe imara."