Nyimbo za Kristo 166
Furaha Kwa Ulimwengu
Joy to the World
Tune: Church Hymnal 189
1Furaha kwa ulimwengu, Bwana atakuja!
Kila moyo umpokee,
Viumbe imbeni,
Viumbe imbeni,
Viumbe vyote imbeni.
2Na Bwana atatawala:
Watu na waimbe;
Miti, milima na mawe
Kariri furaha,
Kariri furaha,
Kariri furaha kubwa.
3Atatawala kwa wema;
Atawafundisha Mataifa haki yake,
Ajabu za pendo,
Ajabu za pendo,
Ajabu za pendo lake.