Skip to content

Nyimbo za Kristo 167

Yu Hai, Yu Hai

Studio

1Yesu Bwana Mwokozi aishi milele,
Najua kwamba Yupo pamoja na mimi;
Sauti nasikia,
Rehema naona;
Wakati namhitaji, yupo nami.

RefrainYu hai,
Yu hai,
Yu hai Bwana Yesu!
Atembea, azungumza nami siku zote.
Yu hai,
Yu hai, kutoa uzima!
Hivi ndivyo nijuavyo,
Yu hai ndani yangu!

2Ulinzi Wake upo naona dhahiri,
Miguu ichokapo, sikati tamaa;
Najua an'ongoza kupota dhoruba,
Siku ya kuja kwake nitamwona.