Skip to content

Nyimbo za Kristo 171

Hukumu

Studio

1Imeanzishwa hukumu mbinguni; tutasimamaje pale;
Apimapo Mungu Hakimu kila wazo na tendo?

RefrainTutasimamaje sote katika siku kuu ile?
Dhambi zetu zitafutika ama zitatuangusha?

2Wametangulia wafu kupimwa,
Kitambo ndipo wahai;
Watapokea neno la mwisho,
Vitabuni mwa Mungu.

3Tutasimamaje usiku ule,
Siri zetu, kila moja,
Zafunuliwa toka vitabu;
Yesu atusaidie!