Skip to content

Nyimbo za Kristo 181

Tutakaa Mahali Pa Maji

Tune: Christ in Song 206

1Mahali pa maji mazuri maji ya uzima;
Anapotungoja Yesu tutakaribishwa.

RefrainMahali pa maji mazuri, penye maji ya‿uzima;
Tutakaa na Mwokozi, chemchemi ya uzima.

2Tunapochoka safarini, tamu kupumzika.
Panapo maji ya‿uzima yatufurahisha.

3Una kiu?
Uje kwa Yesu, utaburudishwa;
Yesu yu maji ya uzima, unywe,uokoke.