Nyimbo za Kristo 182
Hapana Giza
No Night There
Tune: Church Hymnal 558
1Mchana hauishi Mjini mzuri;
Mji hautapita;
Na hapana giza.
RefrainMachozi yatafutwa,
Kifo hapana pale;
Hawahesabu siku,
Na hapana giza.
2Milango ni ya lulu,
Mjini mzuri;
Dhahabu njia zake;
Na hapana giza.
3Milango haifungwi Mjini mzuri;
Mto ni wa uzima
Na hapana giza.
4Hawahitaji jua Mjini mzuri,
Mwana Kondoo nuru;
Na hapana giza.