Skip to content

Nyimbo za Kristo 183

Yesu Anaporudi

Tune: Christ in Song 854

1Furaha na raha tutapata,
Furaha na raha tutapata,
Furaha na raha tutapata Yesu anaporudi.

RefrainYesu‿anaporudi Yesu anaporudi ;
Furaha na raha tutapata Yesu anaporudi.

2Tutaimba nyimbo za shangwe kuu,
Tutaimba nyimbo za shangwe kuu,
Tutaimba nyimbo za shangwe kuu
Yesu‿anaporudi.

3Hapana machozi arudipo,
Hapana machozi arudipo,
Hapana machozi arudipo, kwa wateule wake.