Nyimbo za Kristo 186
Hatutaagana Tena
Never Part Again
Tune: Christ in Song 866
1Tuonanapo na rafiki sote twafurahi,
Ila tumepaswa mwishowe kuagana tena.
RefrainHatutaagana tena nyumbani mbinguni,
Kwenye nchi tamu juu,
Hatutaagana.
2Twatumaini kwa furaha tutaonana juu
Na rafiki tulioaga tuishapo shinda.
3Kule hatutatamka kamwe neno la kuaga,
Tutaimba daima tena nyimbo za furaha.