Skip to content

Nyimbo za Kristo 187

Kufariki Naye Yesu

Asleep in Jesus

Tune: Church Hymnal 489

1Kufariki naye Yesu!
Usingizi wewe heri;
Raha isiyofujika kwa majozi na adui.

2Kufariki naye Yesu!
Lo!
Ya kubwaga simanzi
Na kulala na amani hata Bwana awatuze.

3Kufariki naye Yesu!
Heri watakaoamshwa,
Wataona siku‿ile utukufu wake Bwana.

4Kufariki naye Yesu!
Wataamka‿aitapo;
Watapasua kaburi na kutoka watukufu.