Skip to content

Nyimbo za Kristo 191

Mkate Wa Mbingu

Studio

1Mkate wa mbingu mega kwetu;
Ulivyotoa kwa thenashara.
Katika kitabu, twakuona.
Moyo unatweta kukutana.

2Neno la ukweli libariki;
Tusikie mwito wa upole.
Vizuizi vyote vitakoma.
Tena tutapata uungwana.

3Uzima na nguvu, utanena;
Nakimbiliza tu kufuata.
Lakini mnyonge ndiye mimi;
Naye Mshindaji ndiye wewe!