Skip to content

Nyimbo za Kristo 19

Msalabani Pa Mwokozi

Studio

1Msalabani pa Mwokozi Hapo niliomba upozi,
Moyo wangu ulitakaswa,
Na asifiwe.

RefrainNa asifiwe,
Na asifiwe,
Alinikomboa kwa damu,
Na asifiwe.

2Chini ya mti msumbufu Niliomba utakatifu,
Alinikomboa kwa damu,
Na asifiwe.

3Kwa ajabu nina okoka,
Yesu anakaa moyoni;
Mtini alinifia,
Na asifiwe.

4Damu ya Yesu ya dhamani Huniokoa makosani;
Huniendesha wokovuni,
Na asifiwe.