Skip to content

Nyimbo za Kristo 193

Sauti Yake Mchungaji

Studio

1Sauti ya Mchungaji, ninasikia jangwani,
Kondoo waliopotea anawaita warudi.

RefrainLeteni, leteni, leteni toka dhambini;
Leteni, leteni, waleteni kwa Yesu.

2Nani atakeyekwenda amsaidie Mchungaji,
Awarudishe zizini, wasife bure gizani?

3Usikose kusikia sauti ya Mchungaji,
Kondoo waliopotea nenda na kuwatafuta.