Nyimbo za Kristo 195
Msingi Wa Kanisa
1Msingi wa Kanisa Ndiye Yesu Bwana;
Kiumbe chake kipya Akipenda sana;
Kutaka 'kitafuta Alishuka chini,
Naye kwa haja yake,
Akafa Mtini.
2Lina kila kabila Kisha ndiyo moja Wokovu wake una Mwokozi ndyo moja;
Uzazi ni umoja.
Moja tumaini.
Chakula ni kimoja.
Moja tumaini.
3Watu hustaajabu Kwa mashaka yote.
Yaipatayo nje Hata ndani mwote;
Ila watakatifu Humwomba, wakikesha Usiku ni kilio.
Asubuhi raha.
4Mashaka na taabu Hata vita vyake.
Vyangoja matimizo Ya amani yake.
Ndipo kwa macho yetu Twone utukufu Kanisa ya kushinda itastarehe juu.