Nyimbo za Kristo 2
Twamsifu Mungu
We Praise Thee, O God
1Twamsifu Mungu,
Mwana wa upendo Aliyetufia na kupaa juu.
RefrainAleluya!
Usifiwe,
Aleluya!
Amin;
Aleluya!
Usifiwe, utabariki.
2Twamsifu Mungu,
Roho mtakatifu,
Akatufunulia Mwokozi wetu.
3Twamsifu Mwana, aliyetufia Ametukomboa na kutuongoza.
4Twamsifu Mungu wa neema yote Aliyetwaa dhambi, akazifuta.
5Twamshe tena, tujaze na pendo.
Moyoni uwashe moto wa Roho.