Skip to content

Nyimbo za Kristo 22

Usinipite Mwokozi

Studio

1Usinipite,
Mwokozi, unisikie;
Unapozuru wengine, usinipite.

RefrainBwana,
Bwana, unisikie;
Unapozuru wengine, usinipite.

2Kiti chako cha rehema, nakitazama;
Magoti napiga pale, nisamehewe.

3Sina ya kutegemea, ila wewe tu;
Uso wako uwe kwangu, nakuabudu.

4Wewe tu u mfariji: sina mbinguni,
Wala duniani pote,
Bwana mwingine.