Nyimbo za Kristo 24
Jina Lake Yesu Tamu
1Jina lake Yesu tamu Tukilisikia,
Hutupoza, tena hamu Hutuondolea.
2Roho iliyo umia kwalo hutibika,
Chakula, njaani pia;
Raha, tukichoka.
3Jina hili nimsingi,
Ngao,
Ngoma,
Mwamba,
Kwa hili napata ungi, kwangu ni akiba.
4Yesu,
Mchunga,
Rafiki,
Mwalimu,
Kuhani,
Mwanzo,
Mwisho, na Amana,
Mali yangu yote!
5Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli;
Ila sifa zangu hizi,
Bwana, zikubali.