Nyimbo za Kristo 25
Taji Mvikeni
1Taji mvikeni Taji nyingi sana, kondoo mwake Kitini,
Bwana wa mabwana;
Nami tamsifu Alikufa kwangu,
Ni mfalme mtukufu,
Seyidi wa mbingu.
2Taji mvikeni Mwanawa bikira;
Anazovaa kicwani Aliteka nyara;
Shilo wa manabii Mchunga wa watu Shina na tanzu vya Yese Wa Bethilehemu.
3Taji mvikeni Bwana wa mapenzi;
Jeraha zake nishani Ni vito vya enzi,
Mbingu haina Hata malaika Awezaye kuziona pasipo kushangaa!
4Taji mvikeni Bwana wa Salama;
Kotekote duniani Vita vitakoma;
Nayo enzi yake Itaendelea,
Chini ya miguu yake,
Maua humea.