Nyimbo za Kristo 26
Tutokapo Tubariki
God the Omnipotent
Tune: Church Hymnal 33
1Tutokapo tubariki,
Utupe kufurahi;
Tuwe na upendo wako,
Neema ya kushinda.
Nawe utuburudishe tukisafiri chini.
2Twatoa sifa, shukrani
Kwa neno la injili;
Matunda yake wokovu
Yaonekane kwetu;
Daima tuwe amini
Kwa kweli yako, Bwana.
3Siku zetu zikizidi
Tuzitoe kwa Yesu;
Tuwe na nguvu moyoni
Tusichoke njiani;
Hata tutakapoona Utukufu wa Bwana.
- Tune
- Church Hymnal 33
- Other tunes
- Music of SDAH 64