Skip to content

Nyimbo za Kristo 26a

Tupe Amani

1Mungu mtukufu Aliyeumba
Pepo kuvuma Na radi kali;
Toa neema unapotawala,
Tupe amani,
Bwana wa wema.

2Mungu wa neema,
Nchi imeacha Amri tukufu
Na Neno Lako;
Hasira zako Zisituharibu,
Tupe amani,
Bwana wa wema.

3Mwumbaji wa haki,
Watu wabaya Wamedharau
'Tukufu wako;
Lakini wema wako utadumu;
Endesha kweli Bwana wa wema.

4Tunakutolea Ibada safi
Kwa ajili ya
Wokovu wako;
Hivi tunaziimba sifa zako;
Wako uwezo na utukufu.

Other tunes
Music of SDAH 84