Skip to content

Nyimbo za Kristo 27

Tena, Mwokozi, Twalitukuza Jina Lako

Studio

1Tena,
Mwokozi, twalitukuza Jina lako lenye kupendeza,
Twangojea neno la amani,
Kabla hatujakwenda nyumbani.

2Tupe amani njiani mwetu,
Wewe umwanzo, umwisho wetu;
Dhambini kamwe isiingie Midomo ikutaye wewe

3Tupe amani ulimwenguni Ndiyo dawa yetu majonzini;
Na ikitwita sauti yako,
Tupe amani milele kwako.