Nyimbo za Kristo 28
Jina La Thamani
Take the Name of Jesus With You
Tune: Church Hymnal 523
1Jina lake Yesu tamu,
Lihifadhi moyoni;
Litakufariji ndugu,Enda nalo popote.
RefrainJina la Thamani,
Tumai la dunia Jina la thamani tamu!)
Furaha ya mbinguni.
2Jina la Yesu lafaa
Kama ngao vitani.
Majaribu yakisonga,
Omba kwa jina hili.
3Jina hili la thamani
Linatufurahisha,
Anapotukaribisha,
Na tunapomwimbia.
4Mwisho wa safari yetu
Tutakapomsujudu.
Jina hili tutasifu
Furaha ya mbinguni.