Nyimbo za Kristo 36
Siku Kuu
1Ni siku kuu siku ile ya kumkiri Mwokozi!
Moyo umejaa tele, kunyamaza hauwezi.
RefrainSiku kuu!
Siku kuu ya kuoshwa dhambi zangu kuu!
Hukesha na kuomba tu, aniongoza miguu.
Siku kuu! siku kuu ya kuoshwa dhambi zangu kuu!
2Tumekwisha patina, mimi mbwake, yeye mbwangu,
Na sasa nitamwandama, nikiri neno la Mungu.
3Moyo tulia kwa Bwana, kiini cha raha yako:
Huna njia mbili tena: uwe naye, yote ndako.