Nyimbo za Kristo 4
Jina La Yesu Salamu
1Jina la Yesu, salamu!
Lisujidieni,
Ninyi mbinguni, hukumu,
Na enzi mpeni.
Ninyi mbinguni, hukumu,
Na enzi mpeni.
2Enzi na apewe kwenu, watetea dini;
Mkuzeni Bwana wenu,
Na enzi mpeni.
Mkuzeni Bwana wenu,
Na enzi mpeni.
3Enyi mbegu ya rehema nanyi msifu;
Mmeponywa kwa neema,
Na enzi mpeni.
Mmeponywa kwa neema,
Na enzi mpeni.
4Wenye dhambi kumbukeni ya msalabani Kwa furaha msifuni,
Na enzi mpeni.
Kwa furaha msifuni,
Na enzi mpeni.
5Kila mtu duniani msujudieni Kotekote msifuni,
Na enzi mpeni.
Kotekote msifuni,
Na enzi mpeni.
6Sisi na wao pamoja tu mumo sifani.
Milele sifa ni moja,
Na enzi mpeni.
Milele sifa ni moja,
Na enzi mpeni.