Skip to content

Nyimbo za Kristo 5

Na Tumwabudu Mfalme Mtukufu

Studio

1Na tumwabudu huyu Mfalme,
Sifa za nguvu zake zivume;
Ni ngao, ni ngome,
Yeye milele,
Ndizo sifa zake kale na kale.

2Tazameni ulimwengu huu,
Ulivyoumwa, ajabu kuu;
Sasa umewekwa pahali pake,
Hata utimize majira yake.

3Kwa ulinzi wako, kwetu Bwana,
Twakushukuru,
U mwema sana;
Hupewa chakula kila kiumbe,
Kila kitu kila mahali pake.

4Wanadamu tu wanyange sana,
Twakutumaini wewe,
Bwana;
Kamwe haupungui wako wema,
Mkombozi wetu,
Rafiki mwema.