Nyimbo za Kristo 48
Ninakupenda Zaidi
The Half Has Never Yet Been Told
Tune: CS1900 242
1Ninakupenda zaidi,
Ya vyote vingine;
Kwani umenipa raha,
Na amani, Bwana.
RefrainNusu haijatangazwa Ya‿upendo wako;
Nusu haijatangazwa Damu hutakasa .
2Nakujua u karibu
Kuliko dunia;
Kukukumbuka ni tamu
Kupita kuimba.
3Kweli wanifurahisha,
Na nitafurahi;
Pasipo upendo wako
Naona huzuni.
4Itakuwaje Mwokozi,
Kukaa na wewe,
Ikiwa‿ulimwenguni,
Tuna furaha hii?
- Tune
- CS1900 242