Nyimbo za Kristo 9
Mwumbaji, Mfalme
1Mwumbaji,
Mfalme,
Vitu vyote vyako;
Ni kwa ukarimu wako;
Ninabarikiwa,
Ni kwa ukarimu wako,
Ninabarikiwa.
2Uliyeniumba,
Nakutegemea;
Sina budi kuzisifu Hisani zako kuu,
Sina budi kuzisifu Hisani zako kuu.
3Nitatoa nini?
Kwanza vyote vyako,
Upendo wako wadai Moyo wa shukrani,
Upendo wako wadai Moyo wa shukrani.
4Nipewe neema,
Niwe na uwezo Wa kuishi kwako,
Bwana:
Siku zangu, zako,
Wa kuishi kwako,
Bwana:
Siku zangu, zako.