Skip to content

Nyimbo za Kristo 50

Mungu Nawe Nanyi Daima

Studio

1Mungu nawe nanyi daima; hata twonane ya pili,
Awachunge kwa fadhili,
Mungu nawe nanyi daima.

RefrainHata twonane juu hata twonane tena kwake;
Hata twonane juu Mungu nawe nanyi daima.

2Mungu nawe nanyi daima; awafunike mabawa,
Awalishe, awakuze;
Mungu nawe nanyi daima.

3Mungu nawe nanyi daima; kila wakati wa shida Awalinde hifadhini;
Mungu nawe nanyi daima.

4Mungu nawe nanyi daima; awabariki na pendo Ambalo halina mwisho;
Mungu nawe nanyi daima.

Mungu Nawe Nanyi Daima – Nyimbo za Kristo 50 lyrics | Advent Hymnals