Nyimbo za Kristo 58
Zitakuwa Nyota Tajini
1Leo nina fikiria nchi nzuri Ninayotaka kuiona;
Nisimamapo karibu na Mwokozi,
Tajini zitakuwa nyota?
RefrainSijui tajini mwangu kama nyota Zitang'aa kila wakati!
Nitakapoamka katika majumba Zitakuwa nyota Tajini?
2Kwa nguvu za Bwana nitafanya kazi,
Nitavuta roho za watu,
Ili niwe na nyota katika taji,
Bwana anapotupa tunu.
3Nitakuwa na furaha nikimwona,
Kuweka miguuni pake Watu walio vutwa kwa ajili ya Kazi yangu na Roho yake.