Nyimbo za Kristo 6
Kumekucha Kwa Uzuri
The Morning Bright
Tune: Church Hymnal 18
1Kumekucha kwa uzuri
Nafumbua macho;
Baba amenihifadhi,
Ni wake moto.
2Bwana niwe leo kutwa
Ulinzini mwako;
Nisamehe dhambi, niwe
Mikononi mwako.
3Roho wako anikae moyoni daima;
Anitakase, nione Uso wako mwema.
- Tune
- Church Hymnal 18