Nyimbo za Kristo 62
Napenda Kitabu Chake
Tune: Church Hymnal 220
1Napenda kitabu chake, kilichotoka mbinguni,
Barua kwangu ya Bwana
Ujumbe wake wa'pendo.
2Humo ndani ya kitabu
Sura ya Yesu naona;
Karatasi zimekuwa,
Wayo zake za
Mwongozi.
3Mapenzi yake Mwumbaji,
Kubwe la‿asali tamu;
Natamani kuuonja,
Ule mkate wa uzima.
4Mapenzi Yake Mwumbaji,
Yanafunuliwa humo;
Hazina kuu ya hekima,
Utajiri wa‿ajabu.
5Mwangaza wa ulimwengu
Angaza humo moyoni!
Uwe mwandamizi pote,
Taa ya hatua zangu.