Skip to content

Nyimbo za Kristo 66

Roho Yangu Amka Sasa

Studio

1Roho yangu amka sasa, mara jitahidi;
Shindano ni lake Bwana, zawadi ni taji.

2Sauti ni yake Mungu inayokuita;
Ndiyo aliyekirimu taji ya uzima.

3Mashaidi ndio wengi wanao kuona;
Ya nyuma usifikiri bali mwendo kaza.

4Bwana umetuanzisha katika shindano;
Kwa vile tunaposhinda ushindi ni wako.