Nyimbo za Kristo 67
Kesha Roho Yangu
1Kesha roho yangu, adui maelfu Hujaribu kuangusha, kuvuta dhambini.
2Ukeshe, uombe, ili ushindwe Fanya vita kila siku, omba msaada.
3Kushinda ni bado: ulinde silaha;
Usiache kupigana hata una taji.