Skip to content

Nyimbo za Kristo 68

Tusimame Imara Mwambani

Tune: CS1900 417

1Umtetee Mungu duniani ijapo pepo kali zavuma;
Mwambani pekee pana nguvu
Dhambi ikimea.

RefrainTusimame‿imara katika mwamba,
Mwamba wa Kristo pekee;
Ndipo salamini tutasimama
Kule kitini pa enzi.

2Itetee haki kwa bidii, kwa moyo mnyofu wa imani;
Mwambani pekee utashinda wingi wa upotovu.

3Itetee kweli, itadumu, ijapo kawia itashinda;
Mwambani pekee pana raha yaishapo tufani.