Skip to content

Nyimbo za Kristo 71

Kesheni Kaombeni

Tune: Christ in Song 555

1Kesha‿ukaombe panapo mafasi;
Wakati si mwingi.
Kwa vile ukeshe
Mwili ni dhaifu.
Adui hodari karibu atakuja,
Bwana wa arusi.

RefrainKesha,
Omba,
Kesha,
Omba,
Kesha Kaombe gizani, mchana,
Daima kesha.

2Fukuza‿usingizi, fukuza mashaka;
Ahadi ni yako, raha ya milele
Bwana‿alikesha kwa ajili yako;
Jasho lake likawa matone ya damu.

3Yesu‿umkubali‿awe nguvu zako;
Silaha‿uzivae; adui karibu.
Sasa nafasi iko, isipite bure;
Bila kukawia masihiya kesha.