Nyimbo za Kristo 72
Jenga Juu Ya Mwamba
We'll Build on the Rock
Tune: Church Hymnal 579
1Tutajenga juu ya
Mwamba Wa Yesu,
Mwaba wa kale;
Tutavumilia kishindo Tufani ivumapo.
RefrainTutajenga juu,
Tutajenga juu,
Tutajenga juu ya
Mwamba mkuu,
Juu yake yesu.
2Wengine hujenga katika
Mchanga wa ulimwengu;
Wengine katika mawimbi
Ya anasa za dhambi.
3Jenga nawe juu ya mwamba,
Msingi pekee wa kweli:
Tumai lake litadumu,
Tumai la wokovu.