Skip to content

Nyimbo za Kristo 86

Ukaribie Tena

Studio

1Ukaribie tena, ewe siku ya raha;
Roho yakusalimu kama mwanga wa mbingu.

2Raha yako tulivu, yafurahisha moyo;
Yatuliza taabu, hata waisha mwendo.

3Ee siku takatifu, sifa na maombi,
Na kutuhekimisha, baraka yako kubwa.

Ukaribie Tena – Nyimbo za Kristo 86 lyrics | Advent Hymnals