Nyimbo za Kristo 89
Asubuhi
1Bwana asubuhi kucha nitakuinua Sauti yangu kuomba, nipate baraka.
2Nakuomba roho yako niongozwe nayo;
Nifanye yanipasayo, na mapenzi yako.
3Wanaokutegemea,
U Mlinzi wao;
Matumaini wanayo, utayatimiza.
4Na kwa wingi wa fadhili,
Nyumbani mwako juu Nitaingia na wimbo,
Pale kusujudu.