Skip to content

Nyimbo za Kristo 87

Siku Ya Sabato

Holy Sabbath Day of Rest

Tune: Church Hymnal 470

1Siku ya Sabato, siku takatifu,
Watu wako Mungu wetu, waipenda sana.

2Ulitakasa, uliibariki,
Siku hiyo ya Sabato, siku yako Bwana.

3Nasi tubariki tukikuabudu,
Katika siku ya raha, siku yako Bwana.

4Halafu mbinguni, pamoja na Wewe.
Tunataka kuzishika Sabato za Bwana.