Skip to content

Nyimbo za Kristo 88

Siku Hii Ya Sabato

Tune: Church Hymnal 458

1Siku hii ya Sabato,
Tamu kufikiri Juu ya Mungu na
Mbingu Kuacha dunia.

2Tamu kusikia Neno
Toka mhubiri Anayefundisha toba,
Tupate uzima.

3Katika vita na dhambi,
Ikiwa twashindwa,
Yeye atatupa nguvu
Aonaye moyo.