Skip to content

Nyimbo za Kristo 92

Magharibi Jua

Studio

1Magharibi jua limekwisha kushuka,
Mwezi na nyota sasa vinamsifu Muumba wa usiku.

RefrainMungu Mtukufu,
Mungu Mkuu,
Wote juu mbinguni, na wanadamu chini Twakusifu.

2Mpaji wa uhai, ukaaye mbinguni.
Utuifadhi sisi, tufahamu gizani,
U karibu.

3Mapenzi yako makuu yawe nasi usiku,
Tuli usingizini, kucha vivyorohoni tushukuru.

4Na utakapo kuja na nguvu kutawala,
Mungu wangu kubali kunichukua mimi huko juu.

Magharibi Jua – Nyimbo za Kristo 92 lyrics | Advent Hymnals